Nafasi za kazi Dubai hotelini
NAFASI ZA KAZI DUBAI Kampuni ya Media One Hotel Kupitia hotel ya Media one hotel United Arab Emirates inatangaza nafasi 20 za kazi zifuatazo CHEF COOKER LAUNDRY ASSISTANT REFIGERATORS ASISTANT POOL ASSISTANT GARDEN ASSISTANT DRIVER CLEANERS SIFA ZA MUOMBAJI -Awe na miaka 18 hadi 35 -Awe ana elimu angalau form 4 ( O-level) -Awe anaelewa na anafahamu kiingereza japo kidogo au kiarabu -Awe na afya njema na salama -Awe hana matatizo ya kudumu ya kiafya -Awe na uwezo wa kufanya kazi masaa 6 kwa kila siku tu -Awe na leseni ya driver class B/C/D (Kwa upande wa madereva) Awe amesomea na amefaulu kupata cheti cha Upishi kutoka chuo kinachotambulika NB: *HAKUTAKUWA NA KAZI KILA SIKU YA JUMAPILI NA SIKU ZA HOLIDAY KITAIFA* JINSI YA KUTUMA MAOMBI Andika barua ya maombi Hakikisha ina vitu vifuatavyo -Namba yako ya simu -Tarehe ya kuzaliwa -Adress (Unapoishi) -Nafasi unayoomba Kisha itume barua hiyo kwenda kwenye email mediaonehoteldubaiuae@gmail.com Barua za...