NAFASI ZA KAZI ZANZIBAR
NAFASI ZA KAZI ZANZIBAR PALACE HOTEL ZANZIBAR Zanzibar palace hotel hotel Zanzibar iliopo mtaa wa Kiponda mjini Unguja inatangaza Nafasi 5 za kazi kwa wahitaji wafuatao -Chef cocker (NAFASI 1) SIFA ZA MUOMBAJI -Awe amemaliza angalau form 4 -Awe amesomea mafunzo ya upishi -Awe na uzoefu angalau miezi 6 -Awe tayari kufanya kazi masaa 8 kwa siku Deputy Secretary (NAFASI 1) -Awe amemaliza angalau form 4 -Awe amesomea computer angalau 3 months course -Awe na uzoefu angalau miezi 6 Wasafishaji na wahudumu ( NAFASI 3) SIFA ZA MUOMBAJI -Awe amemaliza angalau form 4 -Awe anaelewa kiingereza -Awe na uzoefu na anayoomba -Awe na afya nzuri na salama JINSI YA KUOMBA Muombaji atatakiwa kuandika barua ya maombi na kisha kuituma kwenye email zanzibarpalacehotel@yahoo.com Au kuifikisha Zanzibar palace hotel kiponda Zanzibar KWA MAWASILIANO Call +255625998366 Whatsapp +255625998366 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 June 2017 saa 10 :00 jioni Ahsante

Maoni
Chapisha Maoni