Nafasi za kazi
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
NAFASI ZA KAZI DOHA HOTEL UNITED ARAB EMIRATES
DOHA International hotel inatangaza nafasi 15 za kazi za usafi katika hotel hiyo
SIFA ZA MUOMBAJI
-Awe na miaka 18 hadi 35
-Awe amemaliza O-level education
-Awe anajuwa kuongea kiingereza kwa ufasaha na kuelewa
-Asiwe na maradhi ya kudumu
-Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa masaa 8 kwa siku
-Alhamisi na Ijumaa ni mapumziko (HOLIDAY)
-Awe tayari kuishi United Arab emirates
JINSI YA KUOMBA
TUMA MAOMBI KWENYE EMAIL dohainternationalhotel@gmail.com
PHONE NO: +971968257535
AU KUPITIA P.O.BOX 58583
AL HUSSEIN ROAD DOHA, UNITED ARAB EMIRATES.
UNAPOTUMA MAOMBI HAKIKISHA UNATUMA NA PICHA MOJA KAMA NI UTAMBULISHO
TUMIA LUGHA YA KIINGEREZA AU KIARABU TU
MWISHO WA MAOMBI 20 MAY 2017
AHSANTE
Maoni
Chapisha Maoni