Nafasi za kazi Dubai hotelini


NAFASI ZA KAZI DUBAI

Kampuni ya Media One Hotel Kupitia hotel ya Media one hotel United Arab Emirates inatangaza nafasi 20 za kazi zifuatazo
CHEF COOKER
LAUNDRY ASSISTANT
REFIGERATORS ASISTANT
POOL ASSISTANT
GARDEN ASSISTANT
DRIVER
CLEANERS

SIFA ZA MUOMBAJI
-Awe na miaka 18 hadi 35
-Awe ana elimu angalau form 4 ( O-level)
-Awe anaelewa na anafahamu kiingereza japo kidogo au kiarabu
-Awe na afya njema na salama
-Awe hana matatizo ya kudumu ya kiafya
-Awe na uwezo wa kufanya kazi masaa 6 kwa kila siku tu
-Awe na leseni ya driver class B/C/D (Kwa upande wa madereva)
Awe amesomea na amefaulu kupata cheti cha Upishi kutoka chuo kinachotambulika

NB: *HAKUTAKUWA NA KAZI KILA SIKU YA JUMAPILI NA SIKU ZA HOLIDAY KITAIFA*

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Andika barua ya maombi
Hakikisha ina vitu  vifuatavyo
-Namba yako ya simu
-Tarehe ya kuzaliwa
-Adress (Unapoishi)
-Nafasi unayoomba

Kisha itume barua hiyo kwenda kwenye email
mediaonehoteldubaiuae@gmail.com

Barua za kiingereza na kiarabu tu ndio zitakazojibiwa

KWA MAWASILIANO ZAIDI
-PHONE: 0625998366
-WHATSAPP:0625998366

*DEADLINE NI 30 JULY 2017*

AHSANTENI

Friday 21July 2017 Afternoon

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NAFASI ZA KAZI ZANZIBAR

Nafasi za kazi